Mchezaji wa pool kutoka timu ya mkoa wa Kinondoni, Godfrey Muhando akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mashindano ya taifa ya mchezo huo yaliyoanza kutimua vumbi huko jijini Arusha.mashindano haya yanaendelea kwa udhamini mkubwa wa bia ya Safari Lager.
Mchezaji wa pool kutoka timu ya mkoa wa Ilala, Evansi Mushi akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mashindano ya taifa ya mchezo huo yaliyoanza kutimua vumbi huko jijini Arusha.mashindano haya yanaendelea kwa udhamini mkubwa wa bia ya Safari Lager.
baadhi ya wachezaji wa mchezo wa pool toka katika timu za mikoa mbali mbali zinazoshiriki katika mashindano hayo,wakiendelea kufuatilia mechi zilizokuwa zikiendelea wakati huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mkoa wa Kinondoni na Ilala ? I am confused Mr.Michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...