Home
Unlabelled
matumizi ya njia bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watu wapumbavu kama hawa ndio wananifanya nisitake kuishi Bongo...tena hapo utakuta anakupigia na honi umpishe, ingawa wewe ndo mwenye haki.
ReplyDeleteHuyo ni wa kumvua helmet unamchapa makwenzi tu.
ReplyDeleteKwa hapa Dar, mbona vitu kama hivyo ni vya kawaida! Yaani kwa yule anayeshangaa, kinyume chake ndiye anaonekana wa ajabu! Hapa Dar na Bongo kwa ujumla msimamizi wa sheria kama hizo hayupo!!!
ReplyDeleteHiyo ndio Bongo ya JK hamna sheria wala taratibu, na kama zipi Hazitekelezwi na kusimamiwa.
ReplyDeleteHalafu bado tu wajinga wanataka kutoa kura zao kwa hao hao
Honi kibaao na matusi pia!!! Hawa jamaa katikati ya barabara kwao, kwenye njia za waenda kwa miguu pia kwao!!!
ReplyDeleteHAPO WADAU HATUNA LAKUSEMA,VIONGOZI MIJIHELA WANAJIGAWIA WENYEWE BADALA YAKUFANYA UTARATIBU WA KUWEKA ROAD CAMERA,JAPO HAPO DSM TU NA WALA SIO NCHI NZIMA,NA WALA HAKUNA HATA MWENYE HILO WAZO,NAPIA KUINGIA MJINI NILAZIMA WAWEKE CONJUCTION CHARGE,MOSONGAMANO UTAISHA,NAWATU WOTE WATATOSHA BARABARANI.MDAU UK.
ReplyDeleteFoleni zilivyo bongo, mwenye pikix2 na abiria wake simlaumu - tena usikute hiyo ni 'taksi' ambao wanashindaja na Bajaji.
ReplyDeleteFoleni ni kubwa mno!
ReplyDeleteNi sawa tu anayo haki kwani barabara haipitiki imejaa maji na sisi wote hatujui haki yetu tukiwa kama walipa kodi. Kama makwenzituanzie na wana ccm ambao ndio madiwani wa jiji ambao ndio tutakaowachagua watuongoze tena kwa utendaji wao mbovu lakini sisi tunachagua chama. Tuache kulalamika hovyohovyo kwani ujinga ni wetu.
ReplyDeleteMIMI HUWA NASEMA SIKU ZOTE KUWA, MAMA WA MATATIZO YETU (WABONGO)YOOOOOTE NI UTOVU WA NIDHAMU. HATUNA NIDHAMU. UKISEMA MTU WA KUSIMAMIA SHERIA HAYUPO SI SAWA, HATA WAKIWEPO MILIONI KAMA NA WAO HAWANA NIDHAMU UNATEGEMEA NINI??!!!! LAKINI PIA HAO WASIMAMIA NIDHAMU HAWAWEZI KUWEPO KILA MAHALI. TUJIFUNZE KUWA NA NIDHAMU KWANZA HALAFU NDO TUGEUKIE KWINGINE, OTHERWISE HATUENDI KOKOTE.
ReplyDeleteMdau Gordon Chiggs, deslam
hatab wakiweka camera, tatizo la bongo ni enforcement of the law. Ukimkamata mtu anatoa hongo yanakwisha. Huko majuu ukikamatwa leseni yako inarecodiwa kwenye takwimu za mahakama, faini zake ni kubwa. Kosa lolote linalohusiana na chombo cha usafiri, kikiwa kinaendeshwa malipo yake yanaanzia kiasi cha shilingi laki moja kwenda juu kutegemeana na gari au pikipiki ilikuwa speed gani. Inaweza hata kufika laki tatu au nusu millioni. ( nimetumia pesa ya kitanzania) lakini hizo faini kama unaishi marekani ni dola nakama uko euruope ni europeana currency.
ReplyDeletesasa unajiuliza ufanye makosa halafu uipe serikali pesa au ufuate sheria. Halafu kama umekubuhu kufanya makosa unanyang'anywa leseni. Ni kitu kigumu sana kutokuwa na leseni, hasa marekani kwani leseni ndiyo kitambulisho kikuu. Siku hizi kupanda ndege wahitaji leseni na mambo chingu nzima yahitaji leseni.
Ni kwamba hapo kwenye sidewalk gari halienei, vinginevyo ungekuta magari pia yana-faulisha
ReplyDeleteBongo wajanja tu ndo wanao peleka mkono kinywani.. huyo mshkaji anapiga honi alafu unasogea kama sio mjanja basi unadhani ni haki yake!?
ReplyDeletekumbe wewe ndio unakandamizwa.
= = =
Buffalo,
New York
This is done for being inconsiderate.Ikijitia uraia wema na kumwambia makosa yake ya kupanda tukutuku kwenye njia ya miguu,ukiwa na bahati atakufyonza au kukutukana,na ukiwa huna bahati pengine atakutia ndondi.
ReplyDeleteWakatabahu
yani huyu baba is such a moron. Not only does he put lives of pedestrians indanger, but also himself..such a silly silly man!
ReplyDeleteMIMI NAFRIKIRI MAMLAKA ZINAZOTOA LESENI NA KIZISIMAMIA NDIO CHANZO JAMAA WA PIKIPIKI UNAKUTA ALIKUWA MKAMUA NG'OMBE ANAPANDA PIKIPIKI MOTO NO ELIMU YA CHOCHOTE BADILI LESENI MWENDESHA PIKIPIKI APIMWE AKILI NDIO AINGIE ROAD WANASUMBUA SANA
ReplyDeleteYaani akinigusa tu, na hiyo pikipiki yake ndo atajua kama hii ni njia ya wapita kwa miguu au pikipiki!!!!!!
ReplyDeleteKama askari wa usalama barabari wameshindwa, hivi nyie watembea kwa miguu mnaopishana nae mmeshindwa nini kumzaba?!?!?!?!
Dah! Natamani nikutane nae, aone kichapo chake, yan kwa mie lazima nimwanzishie, namweleza ukweli akijidai kupandisha sasa hapo ndo atajua kama popo ni mnyama au ndege
Yaani akinigusa tu, na hiyo pikipiki yake ndo atajua kama hii ni njia ya wapita kwa miguu au pikipiki!!!!!!
ReplyDeleteKama askari wa usalama barabari wameshindwa, hivi nyie watembea kwa miguu mnaopishana nae mmeshindwa nini kumzaba?!?!?!?!
Dah! Natamani nikutane nae, aone kichapo chake, yan kwa mie lazima nimwanzishie, namweleza ukweli akijidai kupandisha sasa hapo ndo atajua kama popo ni mnyama au ndege
Bwana wee Ashugala
ReplyDeleteNaona wewe ni jitu kali na shujaa na mtu aliyejaliwa nguvu. Lakini katika dunia hii utapigana na wangapi? Na siku moja utakutana na aliyejaliwa kuwa na nguvu kama wewe au kukuzidi wewe. Like a gun fighter in the westerns, one day, high noon, you will come across someone who is faster at the draw
Wakatabahu
naungana na mdau wa kwanza watu kama hao utakuta anakupigia honi sasa ukiangalia umpishe uende wapi tena na upo kwenye njia yako ya watembea kwa miguu
ReplyDeletebongo ukiwa mtu wa hasira kesi kila siku maana watu kama hao unakata makofi akijifanya kuzipanga unapiga vichwa 3 meno nje mchezo umeisha swain.....
hapo wana usalama hawapo ila kwenye kusimamisha magari yasiokuwa na makosa ili kuvuta ulaji tu nakwambia huko nyumbani tutakuja kutoana roho..#@^%&*
vichwa 3 meno nje kula kona ndio hukumu ya watu kama hao kesho harudii maana ukingoja wana sheria wachukue sheria zinazotakiwa bongo watu kama hao hamna ila wapo wale wa kutembea na land cruser benz na kufakamia mihela ya walala hoi sasa hapo wataangalia matatizo madogomadogo kama hayo saa ngapi? matatizo hayatomuingizia mihela ya bure
ReplyDeletebongo imeoza na itazidi kuoza wanaosema bongo imeendelea kwa kuona majengo makubwa basi hajui maendeleo.