Mwenyekiti wa Bodi ya PPF Dr. Kassim Kapalata akizungumza na Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Bi.Tully Mwambapa huku akishuhudiwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Benki ya CRDB Bw.Martin Mmari (Kulia) na Meneja Uhusiano wa PPF Bi. Sarah Kibonde(kushoto) katika mkia wa jogoo wa sherehe za Mkutano Mkuu wa mwaka wa PPF mjini Arusha
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Bi.Tully Mwambapa akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya PPF Dr. Kassim Kapalata (kushoto) katika sherehe hizo.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. Emmanuel Eriyo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...