Brother Misupuziiii
Hongera sana kwa kazi nzuri ya kutuelimisha na kwa kutujuza mambo kwa weledi mkubwa kupitia libenenge la globu yako makini.
Naomba leo uniweekee kwenye globu yako swali dogo ili wadau wenyewe waweze kujibu, kwani ahadi ni deni.
Iweje Utangaze bila ya kuwa na utafiti pamoja na uhakika,
CHANELL TEN –Walituhadaa wa TZ kususiana na kuanza kuonyesha mechi za UEFA Champions League kwa kutangaza kuonyesha mechi hizo LIVE BILA ZENGWE, heee imekuwaje wakaingia mitini ??? nani mwenye zengweee???? kama si waoooo???
Tuelezeni sababu zilizowafanya mkaingia mitini
Brother Mihay

Nakubaliana na wewe mtoa mada, nawapongeza tbc1 kwani wao walipoulizwa walisema tusubiri tu watatujulisha mambo yakiwa mazuri.Hawa wanatangaza kwa mbwembwe halafu kimya! Kweli haijakaa vizuri!
ReplyDeleteNi kweli! Chanel Ten wanatakiwa waueleze umma wa watanzania wapenda Soka kwa kina kama kweli chanel hii ina uongozi makini. Kwa sababu jambo hili si dogo kwa mashabiki wa soka. Kwani huwezi kukurupuka tu na kusema utaonyesha LIVE bila ZENGWE halafu kukawa na bonge la ZENGWE namna ile. Tunasubiri majibu/maelezo.
ReplyDeletelipia dtsv wewe !!! acha kulalama lalama ohhh mlituahidi ohhh vile !!! bongo kuna ahadi ? wewe vipi kakaaaa khaaa!!! huna hata aibu ...msonyooooooooooo
ReplyDelete