Mkurugenzi Mkuu wa benki ya NBC Bw. Lawrence Mafuru (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa NBC Bw. William Kallaghe wanaonekana wakiingia katika mkutano wa 20 wa Wadau wa Mfuko wa PPF uliofanyika jijini Arusha hivi karibuni. Kwa nyuma anaonekana Mshauri wa mambo ya Uhusiano na Jamii-NBC Bi. Rachael Kimambo.

Picha ya kwanza namuona Ansger Mushi anamkumbushia Lawrence Mafuru kuhusu beef lao la uongozi walipokuwa chuoni ...wakati huo Ansger Mushi alikuwa mgombea wa uraisi na Lawrence naye alikuwepo kwenye uongozi wa chuo hahahaha !!!! Dunia kweli duara jaribu kutengeneza marafiki wengi kuliko maadui kwani hujui kesho itakuwaje
ReplyDeleteHongereni nyote , Mushi na Mafuru kwani nimesikia Mushi naye ni bosi fulani pale ILO
Ni mimi mwanachuo mwenzenu
Gauss
gauuzz@yahoo.com
Mafuru hizo mvi za kweli au za bandia? kumbe chartered institute of bankers exams zinalipa namna hiyo?
ReplyDelete