Urban Pulse Inapenda Kuwaletea wadau wote video ya Notting Hill Carnival Iliyofanyika hapa Ukerewe katika siku kuu ya benki(Bank Holiday) jumatatu 30.8.10 Jijini London.

Sherehe hii hufanyika kila mwaka na huvutia watu mbalimbali kutoka pande zote za dunia, Pia hii ni sherehe kubwa kuliko zote zinazofanyika barani Ulaya.

Wadau zaidi ya million moja na ushee walijumuika kwa pamoja na kusherekea kwa vifijo na ndelemo. Sherehe hii ilijumuisha mdundiko, mchiruku na ngoma toka tamaduni mbalimbali.

asanteni sana

Urban Pulse Creative

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ARRRGHHHHH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
    EBANA NYIE WATU WA UKEREWE SIJUI UKWENI TULETEENI PICHA ZA KUFUTURISHA BANA,MSITUVUNJIE UZU HUU NI MWEZI WA TOBA AMAAAA NYIE VIPI.

    ReplyDelete
  2. kweli ilifunika bovu kuliko ya leeds huku kwetu ilipoa sana....babu kubwa kutupasha na habari.

    ReplyDelete
  3. Baraka Baraka ahsante sana kwa presentation yako. Kumbe you can make a good broadcaster. Nikienda Bongo naenda kuongeas na TIDO MHANDO akuite ukafanye kazi TBC. Big up Kijana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...