Urban Pulse Inapenda Kuwaletea wadau wote video ya Notting Hill Carnival Iliyofanyika hapa Ukerewe katika siku kuu ya benki(Bank Holiday) jumatatu 30.8.10 Jijini London.
Sherehe hii hufanyika kila mwaka na huvutia watu mbalimbali kutoka pande zote za dunia, Pia hii ni sherehe kubwa kuliko zote zinazofanyika barani Ulaya.
Wadau zaidi ya million moja na ushee walijumuika kwa pamoja na kusherekea kwa vifijo na ndelemo. Sherehe hii ilijumuisha mdundiko, mchiruku na ngoma toka tamaduni mbalimbali.

asanteni sana
Urban Pulse Creative
ARRRGHHHHH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteEBANA NYIE WATU WA UKEREWE SIJUI UKWENI TULETEENI PICHA ZA KUFUTURISHA BANA,MSITUVUNJIE UZU HUU NI MWEZI WA TOBA AMAAAA NYIE VIPI.
kweli ilifunika bovu kuliko ya leeds huku kwetu ilipoa sana....babu kubwa kutupasha na habari.
ReplyDeleteBaraka Baraka ahsante sana kwa presentation yako. Kumbe you can make a good broadcaster. Nikienda Bongo naenda kuongeas na TIDO MHANDO akuite ukafanye kazi TBC. Big up Kijana
ReplyDelete