Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohsen Movahhedi Ghomi (katikati) akitoa ufafanuzi leo jijini Dar es salaam juu ya Semina ya Hijja na Umoja wa Kimataifa wa Umma wa Kiislam iliyoandaliwa na Tanzania Hijj Mission kwa kushirikiana na Ubalozi wa Iran nchini Tanzania itafanyika ili kuwahamasisha waumini wa dini ya Kiislam kushiriki Hijja. Wengine ni Mwenyekiti wa Tanzania Hijj Mission Khalid Mohamed Mrisho (kulia) na Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj Mussa Salum.Picha na Tiganya Vincent

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. watu wameelimika na uvumilivu umeingia.

    ona hamna kuosha vinywa juu ya dini za watu.

    Kukaa kimya haimaanishi unaipenda bali ni hesima na uvumilivu.

    asanteni wana dini enza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...