Ndugu Michuzi pole na shughuli.
Kwa heshima na unyenyekevu;Ninapenda kupitia mtandao huu wa jamii kuwakaribisha watu wote kutoka Afrika ya Mashariki katika semina ya siku moja katika jiji letu la Dallas. Mtumishi wa Mungu kutoka Tanzania JUDITH GALIATANO (MAMA HABIBA) ndiye atakae kuwa mzungumzaji mkuu.
Mtumishi huyu ambae ataingia hapa akitokea HOUSTON ambako amekuwa akiishi atafuatana na mtumishi wa Mungu Dr.Jerry Mn'gwamba pamoja na mke wake.Maombi na ushauri kwa watu wenye shida mbali mbali yatafanyika.Tunaomba kila moja atakaesoma tangazo hili amjulishe mwenzake.
Ninaamini kabisa kila moja wetu atakubaliana nami kwamba, mtumishi wa Mungu mama Judith Galiatano anatumiwa na Mungu sana katika kuwafungua watu katika maeneo mbali mbali ya maisha kwa njia ya maombi.
MAHALIi: Umoja International Outreach Church
12727 Hillcrest Road
Dallas Texas,75230
SIKU : Jumapili hii tarehe 09/26/2010
MUDA :Kipindi cha asubuhi ni saa tatu mpaka saa tano (9am-11am)
Kipindi cha jioni ni saa kumi na moja na nusu-mbili usiku (5:30 pm-8pm)
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa:214 554 7381, 682 552 6402, 214 773 6697
Kumbuka: Vinywaji pamoja na vitafuno vya kinyumbani vitakuwepo.
KARIBUNI SANA

Kwanini wakaribishwe watu wa Afrika ya Mashariki tu na hilo ni neno la Mungu?? Kama ni suala la kujua Kiswahili, si lazima uwe mtu wa Africa Mashariki ili kukijua!!!
ReplyDelete