Mgeni rasmi aliyezindua ni; Jaji Mstaafu Lameck Mfalila, Mwenyekiti wa Board, Agenda Participation 2000 pembeni akiangalia ni Resident Director-FES, Dr. Stefan Chrobot mwengine ni Balozi Mahmoud Jabir.
Home
Unlabelled
UZINDUZI WA TAMKO LA WANAHARAKATI WASIO WA KISERIKALI 2010; “WAKATI UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nakushukuru Jaji Mfalila, watanzania hawatakusikiliza wala hawamusikilizi Dr Slaa na Free education, wao wakipewa fulana na kofia ya ccm, basi shule kwao ya nini,tangu kampeni zianze ahadi za Kikwete zinaweza kulipia shule bure kwa miaka 15 lakini katika ahadi zake wala hajathubutu kwanini asijiulize kama siyo shule ya bure tungekuwa na wazaramo wangapi waliosoma bure kama yeye? hili siyo rahisi kufikiriwa kwani hawa jamaa wanamiliki mashule kama watakubali elimu bure na kubadili mtaala shule zao zitakufa kifo cha mende.
ReplyDeleteMdau Bukoba.