Hii ni team ya Precision Air ikiwa na team ya ATR (France) kabla ya sherehe ya kukabidhiana ndege mpya aina ya ATR 72-500 nchini Ufaransa katika mji wa Toulouse. Katikati ni Group Managing Director and CEO wa PW Bwana Alfonse Kioko na kulia kushoto kwake ni President wa ATR. Ndege hiyo mpya iliyobatizwa jina la Kilimanjaro, tayari imeishatua jijini Dar es Salaam na inatarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho katika uwanja wa Julius Nyerere International Airport (JNIA)
Home
Unlabelled
timu ya precision air ikiwa nchini ufaransa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Alfonse Kioko tafadhali fanya uchunguzi wa soko kama linaruhu kutuma ndege huku Mbeya, nyanda za juu kusini, tumechoka kusafiri kwa barabara masaa zaidi ya 12 (kumi na mbili)kwenda na kutoka Dar!! Tunakaa kwenye mabasi mpaka staili zote zinaisha!!
ReplyDeleteBwana Alfonse hao uliofuatana nao mbona hawajavaa kiitifaki, sehem kama hizo ni muhimu na ni Image ya kampuni yako lazima wangevaa kulingana na umuhim wa tukio na ingezingatiwa na watu mlioenda kukutana nao nikiangalia hiyo picha wengine casual sana pia kama vile uliwashtua hiyo safari au utafikiri uliwaomba watu toka mtaani wakusindikize tujaribu kuwa serious jamani hebu oneni wenzenu hapo walivyo smart hii inaonyesha ni kwa kiasi gani hatuko serious na mambo tunatake easy kila kitu.
ReplyDeleteKwanza kulia kama vile A. Mfinanga?!
ReplyDeleteKama ni wewe hongera sana ndugu yangu maana ndoto zako za kuwa karibu na ndege hatimaye zimekamilika. Ni mimi kija wa Mzee Poti (ARUSESCO)
ATCL kwisha habari?
ReplyDeletehao walio casual ni baadhi ya wakali wenyewe wa mambo hayo hapa nchini (the practical men). na huyo ni A.Mfinanga mwenyewe.
ReplyDelete