TUNAPENDA KUWAATARIFU WATANZANIA WOTE NA WAKEREKETWA WA CHAMA CHA MAPINDUZI KUWA KUTAKUWA NA UFUNGUZI WA SHINA LA CCM LUTON.

SHEREHE ZA UFUNGUZI ZITAFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 23.10.2010 KUANZIA SAA SABA MCHANA KATIKA ANUANI ILIYOTAJWA HAPA CHINI.

KADI ZA UANACHAMA ZITATOLEWA SIKU HIYO KWA PAUNDI TATU TU (£3ONLY)

ADA YA UANACHAMA KWA MWAKA NI PAUNDI KUMI NA MBILI TU (£12)

PIA KUTAKUWA NA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SHINA SIKU YA UFUNGUZI.

NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, KATIBU, MWEKA HAZINA NA WAJUMBE.

TAFADHALI WAKILISHA JINA LAKO KWA AJILI YA NAFASI HIZI KWA KUWASILIANA NA UONGOZI WA MUDA KWA NAMBA TAJWA HAPA CHINI

PIA TAFADHALI WAKILISHA JINA LAKO KWA AJILI YA KUHUDHURIA SHUGHULI HII MAPEMA IWEZEKANAVYO.

WATU WA KUWASILIANA KWA AJILI YA KUFANIKISHA SHUGHULI HII NI;

1. ABRAHAM SANGIWA

2. ALBERT NTEMI

3. SAMSON MWAKALINDILE

Namba za simu: 07833571100, 07404863333,01582 481523.

ANUANI YA TUKIO: 557 DALLOW ROAD, LUTON LU1 1UW

IMETOLEWA NA UONGOZI WA CCM TAWI LA UINGEREZA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Enhe! Enhe! Mmmeanza.

    ReplyDelete
  2. Kwani waliacha lini? Hizo ndizo zao...

    ReplyDelete
  3. Hawa nao wamekosa kazi za kubeba mabox wanataka kula pound za watu kupitia CCM......mmkosa holaaa.

    ReplyDelete
  4. Safi sana! Hii ndio njia itakayowezesha Watanzania wa diaspora kushiriki katika kujenga nchi yao kutoka huko huko ng'ambo. Endelezeni umoja wa kitaifa huko ughaibuni.
    Wabongo wa Marekani vipi, mbona mko nyuma?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...