KATIBU MKUU, BW. MSHAM ABDALLA KHAMIS, KATIBU MKUU AFISI YA WAZIRI KIONGOZI SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR AKIONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA MAKUBALIANO KUHUSU HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU. NYUMA YAKE NI BI. ABEIDA RASHIDI ABDALLA, MKURUGENZI WA IDARA YA WALEMAVU AFISI YA WAZIRI KIONGZI AMBAYE NI MLEMAVU WA MIGUU AKIFUTATILI MAJADILIANO
MMOJA WA WA WAJUMBE AKIANDIKA KWENYE KOMPYUTA YAKE KWA KUTUMIA MIGUU YAKE WAKATI MAJADILIANO YAKIEDELEA KUHUSU HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU WAKATI WA MKUTANO WA TATU WA UMOJA WA MATAIFA WA NCHI WANACHAMA ZILIZOWEKA SAHIHI NA KURIDHIA MAKUBALIANO YA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU.

KWA HABARI KAMILI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mnabahatisha ama? hii habari ukisoma unachukia kwa uandishi mbaya mnooo!!!

    ReplyDelete
  2. kwenye uandishi mbaya sio hapa tu. Leo kila eneo lugha haieleweki.
    ninachotaka kusema zaidi ni kumpa hongera huyu mama kwa kugundua kua japo hana mikono lakini mguu pia inaweza kufanya kitu fulani. Mtanzania akikatika kidole tu, keshapata tiketi ya kusimama kwenye mataa kuomba... Aibu tupu..!!

    ReplyDelete
  3. mkutano umefanyika wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...