Naomba kwa mara nyingine kutoa malalamiko yangu jinsi jamii yetu inavyolipa umuhimu mdogo suala la kutoa huduma kwa watu wenye ulemavu.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisafiri kupitia uwanja wa ndege wa Mwanza ambapo kuna kampuni ya kutoa huduma inayoitwa AIRCO.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisafiri kupitia uwanja wa ndege wa Mwanza ambapo kuna kampuni ya kutoa huduma inayoitwa AIRCO.
Kwa kuwa kwangu kutembea ni tatizo kila ninapo
check-in nimekuwa nikitoa taarifa kuwa nahitaji wheel chair.
Cha kushangaza ni kwamba mara zote (namaanisha zaidi ya mara kumi mfululizo) hawa mabwana wamekuwa hawazingatii ombi langu.
Kinachotokea ni kwamba wakati wa watu ku board in wao huwaruhusu watu waende kwenye ndege mpaka hapo wanaponiona ndipo wanakurupuka
kutafuta wheel chair.

Ninavyofahamu mimi taratibu za uasafiri wa anga duniani kote zinatambua mahitaji ya watu maalumu kama mimi na kwa kawaida watu wenye
matatizo hupewa kipaumbele cha kuingia kwenye ndege kabla ya wengine tofauti na inavyotokea hapo Mwanza.
matatizo hupewa kipaumbele cha kuingia kwenye ndege kabla ya wengine tofauti na inavyotokea hapo Mwanza.
Naviomba vyombo vinavyohusika kuwatupia macho hawa jamaa wa AIRCO maana hawatekelezi wajibu wao ipasavyo.
Mdau Mkereketwa
Mdau Mkereketwa
Pole kaka. Kwa Africa ulemavu ni laana na ni alama ya umaskini hivyo wanadharauliwa.
ReplyDeleteNchi zilizoendelea walemavu ni 1st priority. Na kila mtu ana moyo wa kusaidia walemavu.
Pole sana na hiyo ndio Africa
inasikitisha sana. Pole sana ndugu nina imani swala lako litatatuliwa halihitaji fungu
ReplyDeleteMDAU WA KWANZA HAPO UMEJUAJE KAMA MTOA MALALAMIKO HAYA NI KAKA?
ReplyDeleteSecondly, use of solar panels ensures ongoing free energy for those who use it. This is mainly because the only cost incurred is that of installation. Once the installation has been done the energy is free since the panel does not require regular maintenance or fuel to run it. It also requires no raw materials for its operation. Zonnepanelen
ReplyDelete