ASIA IDAROUS FABAK FASHIONS WANAKULETEA (USIKU WA KANGA ZA KALE-2010 ) SIKU YA IJUMAA TAREHE 1 OCTOBA NDANI YA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE VIP HALL .

KUTAKUWEPO NA BURUDANI YA JAHAZI MODERN TAARAB KWA UDHANIMI WA TUSKER LAGER, MICHUZI BLOG, ANTELOPE TOURS, VAYLE SPRING, EVENTLIGHTS, MYRIAD, BIG SOLUTION, CHANNEL TEN, MAGIC FM, CLOUDS FM, MLIMANI TV, TBC1, I-VIEW PHOTOGRAPHY,

SHEAR ILLUSION, NEW HABARI CORPORATIONS, MICHUZIJR BLOG, FULL SHANGWE, 8020 BLOG, ABAYA CENTER, NA GEMA SOUND. NI ONYESHO LA MAVAZI YA KANGA NA VIONJO VYAKE.

NYOTA WAIMBAJI WA TAARAB KAMA KHADIJA KOPA, RUKIA RAMADHAN, SABAH MUCHACHO NA BABY MADAHA WA BSS WATATUMBUIZA PAMOJA NA HAYO WABUNIFU WA MAVAZI PAMOJA NA MASTAR KIBAO WATAPANDA JUKWAANI KUONYESHA MAVAZI YA KANGA.

MADHUMUNI YA ONYESHO HILO NI KUKUZA HADHI YA KANGA KWA NI MOJA YA VAZI LA UTAMADUNI KWA MTANZANIA, KIINGILIO NI 10,000 NA 20,000 KWA VITI MAALUMU, PIA MAVAZI YATAUZWA NA VIONJO VYAKE BAADA YA SHOW.

KARIBUNI NYOTE AKINA MAMA NA AKINA BABA TUFURAHI KWA PAMOJA NA UKIPENDA UJE NA VAZI LA KANGA ASANTENI.

KWA MAWASILIANO KAMA UNATAKA KUUZA KANGA ZAKO AU VIONJO VYAKE PIGA SIMU NO 0713263363 AU 0784263363.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...