BURUDANI HII IMEKUWA ADIMU KWA MUDA MREFU SANA NDO MAANA FLAVANITE IMEAMUA KUANDAA USIKU WA " YENU "
NI IJUMAA HII NDANI YA
ZHONGHUA GARDEN
MAENEO YA MOROCCO, DAR-ES-SALAAM kwa shs 5000/- TU
MASHABIKI WA FLAVANITE KARIBU
TULE RAHA PAMOJA KATIKA USIKU HUU WA YENU,
yaani ni MAYENU NON STOP
ukikosa YOU 'R FINISHED....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kusema burudani adimu kwa mda mrefu na kila siku tunayasikia hayo mayenu,halafu nyie fllava kwenda kupiga hapo kwa jamaa zenu hiyo si aibu,boni umekua sasa

    ReplyDelete
  2. Jamani si jumamosi hapohapo zhong hua kuna afro beat night ambayo ilitangazwa mapema wiki hii? hata kama ni kutafuta hela na ushindani wa kibiashara basi peaneni nafasi, eti watanzania ni ushindani,umwamba ama ndio mabusiness. Churaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...