Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM,Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Dr. Amani Abeid Karume katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti mjini Zanzibar leo, wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dr. Amani Abeid Karume akimkabidhi Katiba na Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa Mbombea urais wa Zanzibar,Dr. Ali Mohamed Shein kwa ajili ya kuinadi katika kampeni za Chama hicho zilizozinduliwa rasmi leo katika uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti mjini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia uliopo Kibanda Maiti mjini Zanzibar leo kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi ( CCM).katikati ni Katibu Mkuu wa CCM,Yussuf MakambaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanziabar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohamed Shein, akizangumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Aman Abeid karume, wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika Uwanja wa Demokrasia uliopo Kibanda Maiti mjini Zanzibar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...