


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa kunahitajika maelezo...mshindi wa mwaka jana alipata gari lenye thamani zaidi ya hili kama sikosei(naomba mnirekebishe kama nimekosea)iweje mwaka mmoja baadae shindano lile lile thamani ya zawadi ishuke...mwakani used vitz!!!!
ReplyDeletecheap ass car!!!!!
ReplyDeleteMoja kati ya Hundai 100! huyo mshindi KAPATWA maana walopita walinyakuwa Vitara Grande. Voda mteremkoooooooo!
ReplyDeleteMuhaya kakabidhiwa ma-miss......hii kitu inatisha!!!!!
ReplyDeleteHe! Yaani Miss Tanzania na yeye anapewa kagari hako kama washindi wengine mia moja wa "kamata mkoko"?
ReplyDeleteKweli Miss Tz sasa hivi wachovu ... mi nilidhani watampa mashine ya nguvu kama mamiss Tz waliotangulia.
Duh!. Sasa kuna dalili VODACOM wana mpango wa kutema sponsorship ya haya mashindano. Kigari gani hicho cha kumpa Miss TZ. Huko nyuma wametoa magari ya maana hadi nyumba kwa mshundi wa kwanza. Iweje leo watoe hivyo vigari vya bahati nasibu. Shame an too bad for VODA. Uncle najua wanaku sponsor voda lakini usiibanie hii coment, ni kwa manufaa ya watoto wetu warembo wetu, wanaojitoa muhanga katika fani hii, ili next time sponsors wafikirie mara mbili zawadi za kuwapa
ReplyDeleteNADHANI NI WAKATI KINA LUNDENGA WAANZE KUJIULIZA MASWALI KWA NINI HADHI YA ZAWADI IMESHUKA MWAKA HUU. KIGARI GANI HICHO?
ReplyDeleteMweeh! Mweeh! Mweeh!,
ReplyDeleteYaani mwaka huu wanatoa kiBajaji?!?
Khaah!
Miss TZ ya mwaka huu hakuna mvuto kabisa sijui warembo hasa ambao wangekuwa Miss TZ wameogopa nini waandaaji wafikiri hili suala vinginevyo ni aibu kusema hao ndo Miss Tz wkt kuna warembo hasa hasa
ReplyDeletewadau wote hapo juu wameongea ya kweli. lakini mimi mtazamo wangu ni tofauti kidogo. yale magari ya thamani sana waliochukua warembo waliopita, naona ni gharama sana kuyamaintane, halafu kwa habari nilizokuwa nazo mimi, warembo wengi wa nyuma, wanauza magari wakimaliza muda wao. hii gari ni nzuri sana kwa kuservice na kuimaintein.
ReplyDeleteJamani hivi vigari vinawafaa sana. Wtaoto hawa uwa wanapewa magari kumaintain kazi kweli2 bora hili kwakweli.Kila la kheri warembo wetu.
ReplyDelete