Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akimkabidhi Mwanafunzi Anyelwisye Mwakibinga cheti cha kutambuliwa kama kiongozi bora wa Scout katika shule ya JKT Jitegemee kwenye mahafali ya 26 ya kidato cha nne shuleni hapo, wanaoshuhudia kulia ni Kaimu Mkuu wa shule hiyo Meja Michael Mtenjele na katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule Raymond Mpazi.
Baadhi ya wanafunzi wavulana wa JKT Jitegemee wa kidato cha Nne walioshiriki katika mahafali ya 26 yaliyofanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo.Baadhi ya wanafunzi wasichana wa JKT Jitegemee wa kidato cha Nne walioshiriki katika mahafali ya 26 yaliyofanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bora enzi zetu za kina masawe tulikuwa tuna valishwa vikaputula !! kweli mmeendelea . Jitegemee i love you .

    ReplyDelete
  2. Very smart!!

    ReplyDelete
  3. Aaa Jiteute mnanikumbusha mbali sana wadau wa 1998-2002 mpoooooooooooooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...