Kamishina wa Nishati na Petroli wa Wizara ya Nishati na Madini Injinia Bashir Mrindoko akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu mkutanao wa mwaka wa wadau wa sekta ya Nishati unaojadili namna kukabiliana na changamoto zinazokwamisha maendeleo ya sekta nishati nchini leo jijini Dar es salaam.Wadau wa Sekta ya Nishati nchini wakifuatilia masuala mbalimbali wakati wa mkutano wa mwaka wa kupitia maendeleo ya sekta ya nishati nchini leo jijini Dar es salaam ambapo sekta ya nishati imeguswa kwa kufanyiwa maboresho ya uongezaji wa idadi ya watumiaji wa nishati ya umeme kutoka 14% mpaka kufikia 75% ifikapo mwaka 2033 pamoja na kuongeza idadi ya wateja wapya wanaounganishiwa umeme majumbani kwa mwaka kutoka idadi ya nyumba 60,000 mpaka kufikia 100,000.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Heeh! uzalishaji umeme tena!! nilijua RICHMOND wameshamaliza tatizo! muda si mrefu tutakuwa OK?? Haa watanzania!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...