Home
Unlabelled
wajumbe wa baraza la wanawame la chadema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
makamanda wa ukweli!! mmependeza saaaaana. big up!!!
ReplyDeleteDah ,You future MP under special seats,ur so photogenic,as if pictured at Photopoint centers,your looks is soo attractive,through that look you will won those positions,now,you have to sharpen ur brains coz beauty or ur look does't haven't impact to our future development.You have both good looking and brainy !
ReplyDeletewachaga bana,sahauni kupata kura zetu,yani cama cha uko flani flani tu.sasa it means arusha hakuna wagombea zaidi ya wachaga,hapo wameru,warangi,wamasai wako wengi mno.
ReplyDeleteKukiwa na vichwa 60 vya Chadema Bungeni basi bunge litanoga sana
ReplyDeleteCHADEMA Tusichokeeeeee!!!
ReplyDelete(Ninajua Michuzi hautairusha hii comment yangu)
mficha uchi hazai, kwani inamaana kwenye huo mkutano walikuwepo wao wawili tuu, tuoneshe uma uliohudhuria kama ulivoonesha kwa kikwete acheni wivu!
ReplyDeletePIPOzz === PAWA!!
ReplyDeleteIko siku Wati-zii wataamka na kujua maana ya kuchagua, sio kudanganywa bila msingi wowote.
Maana kwa siasa za bongo unaweza kuhahidi chochote bila kuwajibika wala kuwajibishwa kikatiba kama alivotendwa kiongozi wa Japan hivi karibuni.
Huyu anahahidi elimu bure mpaka form siksi, huyu mpaka chuo kikuu, huyu anahahidi meli, huyu bajaji!!
Hakuna jinsi ya kuwabana mara tunapowapa kura!!
Naomba Mwenyezi Mungu awape hekima viongozi wetu wasije tupeleka mahala pa kutumia pipos pawa kwa machete!!
Vidumu vyama vyoote!!
Mwimbo wa Juma Nature huyoo!
ReplyDeleteWagambo/Mgambo wanaruka ruka na kukanyagana! Oyaa mgambo wa city!
chadema muweke watu wenye akili sio kila mtu tu ili mradi muwe na uwakilishi
ReplyDeleteheee, eliza wee nakuona mama uko juu ni kivazi cha mugambo mugambo ha ha haa, komaa mamaaa!!!
ReplyDeleteWEWE MISUPU ,HATA USIPOONESHA UMATI WA WATU WALIOHUDHURIA MIKUTANO YA CHADEMA.SISI TUTAWACHAGUA CHADEMA MWAKA HUU.HATUDANGANYIKI
ReplyDeleteMmmmmmmmmmmh mbona nembo ya chadema ni kama ishara ya freemasons a.ka. secret society!?
ReplyDeleteMdau mimi nauliza, ntapataje hizo oombat (sare) natamani sana, na mimi nijitambulishe kwa hizo.
ReplyDeletemdau, mwanza
Mama rokii Original all the way to mjengoni, Chadema tuna waamini msituangushe na mpunguze ahadi mana mtashindwa kuzitekeleza halafu tutakuja kuonana wabaya buree. All the best Magii
ReplyDeleteMmmechukiza sana sana sana. Yaani nyinyi chadema mnavyomtukuza mbowe hata hizo "bush suit" za kuwindia ndio mmezifanya uniform rasmi ya chama chenu. Ha ha ha!!! Ndiyo maana nyinyi hamna sera ila matusi na ukabila tu. CCM kada.
ReplyDeletemmashalaaaa watoto mmejaliwa vifua na nguo zenu za mgambo, msilete uzuri pigeni kazi
ReplyDelete