Mwezeshaji wa mafunzo ya Waalimu wa Dar es Salaam wa watoto wa awali akiwaelekeza jambo Waalimu wakati wa mafunzo yao ya siku tatu yanayoendelea kuhusu mbinu mbalimbali za ufundishaji kwa watoto wa Shule za awali, mafunzo hayo yanayoendelea Jijini Dar es Salaaam, yalifanyika kwa ushirikiano wa Pearson Longman Tanzania, Longman Foundation na Mradi wa Vitabu wa Tingatinga

Sijui kama walielewa lugha maana kiingereza chake kigumu.
ReplyDeleteMsaada tutani.......nimewahi kuona cartoon za Tinga tinga kwenye channel ya South Africa na niliposoma majina ya washiriki na maProducer wengi wao ni watani wa Jadi (kenyans) akiwamo Eric Wainaina. Hili likoje? copy rights za hili jambo likoje? Nachukulia Tinga tinga kama alama ya taifa au urithi wetu wa Taifa. Naomba ufafanuzi/kujuzwa.
ReplyDeleteAnkal ukoje? .....nimeuliza humu ya kuwa inakuwaje hii Tinga Tinga inatengenezwa kama Cartoon series South Africa? na maproducer ni wakenya akiwamo Eric Wainaina? hakimiliki ya Tinga Tinga ikoje? ukamuua kubania! unakera!
ReplyDelete