Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernald Membe akifungua rasmi Ubalozi wa Tanzania nchini Brazil katika jijini Brasilia jana.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernald Membe akipokea shada la Maua kutoka kwa Afisa Ubalozi wa tanzania nchini Brazil, Tabu Makatta.
Waziri Membe akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Ubalozi wa Tanzania Brasilia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...