Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Ghana,Mh. Hogn Atta Mills kwenye ikulu ya Accra.Mheshimiwa Pinda yuko nchini humo kumwakilisha Rais Jakya Kikwete katika Mkutano wa kujadili mapinduzi ya kijani barani Afrika .
Rais wa zamani wa Nigeria, Mhe. Olesegun Obasanjo (kulia) akijibu swali wakati wa mjadala maalum kwenye Mkutano wenye lengo la kuleta Mapinduzi ya Kilimo Barani Afrika uliofunguliwa jana jijini Accra, Ghana. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Ghana, Mhe. John Dramani Mahama na katikati ni Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda wakimsikiliza.
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda na akiwa na Mwenyekiti wa Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA), Mh. Kofi Annan (kushoto) wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Ghana, Mhe. John Dramani Mahama wakati akitoa hotuba ya ukaribisho kwenye Mkutano wenye lengo la kuleta Mapinduzi ya Kilimo Barani Afrika jijini Accra, Ghana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Safi Mh. Pinda nakukubali ndani ya suti kali.

    Bora kampeni zimembana sasa hiv na wewe unatoka.Manake ilkuwa too much!

    Wakilisha mheshimiwa wetu!!

    ReplyDelete
  2. JK mbona hasafiri nje siku izi?

    ReplyDelete
  3. Pinda 4 President 2015! Watu wanaochapa kazi kama hawa ndio wanatakiwa kuliongoza Taifa letu.

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa Pinda hii tai inafanana na ile uliyoenda nayo Burundi siku chache zilizopita. Hii ni ile ile au zinafanana tu?

    ReplyDelete
  5. Angalia kwenye vidole Mzee Pinda kala sign ya Haile Selassie.Mimi nilijua tangu zamani Mzee Pinda Rasta yule!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Big up Mh Pinda your the next President jamaa ni mtu safi na mtu wa watu sana na next week anaenda NEW YORK kuhutubia baraza la usalama

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...