
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano wa wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba wakipongezana kwa kazi nzuri mara baada ya shindano la kumtafuta Vodacom Miss Tanzania kuisha, Genevive Emmanuel ndiye aliyeibuka mshindi.nyuma pichani ni Mtangazaji wa Star Tv Muhsin Mambo.
Hapo kwa jicho langu naona wanapongezana wao kuwa wamependeza na si kwa kazi nzuri ya kumaliza mashindano. Taratibu jamani haya....!!!tut.....haya!!!...
ReplyDeleteNAWAPONGEZA SANA, NDIO RAHA YA KUWA NA WAKURUGENZI VIJANA KWENYE MAKAMPUNI.
Yes..weldan na gari la promotion!!lol
ReplyDeleteHapa ni jinsi ya kula cha juu. Huyu jamaa namfahamu sana mchezo wake tangu akiwa TBL
ReplyDeleteHuna lolote Misupu,we sema tu umemind ze KONOOZZ!!!
ReplyDeleteBalozi Mafuru - classmate wangu wa shule ya msingi (Sima Primary School) kule Bariadi, hongera sana kwa ngazi uliyoifikia na kazi nzuri unayofanya.
ReplyDeleteJapo mimi si mshabiki wa mambo ya urembo kwani ninatatizwa sana na dhana nzima ya urembo, huwa ninafurahi sana ninapoona Voda inajitolea kusaidia miradi ya kijamii kama kununua madawati, kujenga madarasa na nyumba za walimu na mengineyo. Kila la heri!!!
huyo miss genevive kweli hana jina la kibantu maana hilo emmanuel ahh ahh
ReplyDeletestopper nae ameuza sura duh mwanza safiiiiiiiiiiiii au mwanza oyeeeeeeeee dialo ange muhamishia muksin dar mwanza anazeeka tu
ReplyDeleteWanapongezana baada ya kushindwa kutoa zawadi ya maana. Hivi kweli wameshindwa kumpa mshindi gari tofauti na yale ya promotion 100. Maskini Genevive pole zako, nna uhakika hujaifurahia hiyo zawadi. Inawezekana magari ya promotion yako 99 na la mshindi ndio la 100. VODACOM MMEFULIA HAHHAHAHAHHAHA
ReplyDeleteNaona gwanda la CHADEMA hapo nyuma. Safi sana kijana hapo nyuma kwa kuwakilisha chama kubwa la CHADEMA.
ReplyDeleteMwamvita jamani nampenda! She's just gorgeous and classy!
ReplyDeletekazi nzuri kaka mafuru kwa kweri mumependeza na makamba ila ninachowaomba gari mlilotoa haliendani na mazigira yetu kama miss vodacom niwa mjini sawa lakini kama ni miss tz hiyo gari haimfai kwani hatawafikia wananchi wanaoishi vijijini ukizingatia barabara zetu ni mbovu inakiwa mtowe 4wheel au ndio kubana matumizi?by mkuki
ReplyDelete"Mhhhhh, una kiuno kizuri wewe".
ReplyDelete"Asante. Na wewe pia una kifua kizuriiiiiii".
"Hahahahahaha............."
haya majina! sijui tunayatoa wapi. Bongo watu wanaitwa genevive, frostanatus, perfection,cleopatra,...LOOH!
ReplyDeleteDada kaziwa kamelala kumbe!
ReplyDelete