Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina (kushoto) na Mkurugenzi wa wateja wadogo wa benki hiyo, Zahid Mustafa wakionyesha kipeperushi wakati wa uzinduzi wa Akaunti za Ligi Kuu ya Uingereza zinazojulikana kama Barclays Premier League Accounts ambapo wateja wake watajishindia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kwenda kushuhudia mechi za ligi hiyo inayoendelea nchini Uingereza. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. You Cant be serious you Barclays. Badala ya kuanzisha 'bidhaa" za maana za kuleta maendeleo halisi mnaleta eti ligi ya Uingireza account...so what. Bwana Masoko wa hii bank ameshindwa kazi. Tafuteni bidhaa zitakazo wasaidia wananchi kuondoa umaskini wao, mikopo ya nyumba, elimu, biahsra, nk.nk. Siyo bidhaa kama eti ligi ya uingereza....hapa siyo uingereza. Ndiyo maana vijana jamii iko bize na ligi ya uingereza badaya ya kuwa na uelewa wa mambo ya maendeleo ya nchi yao.

    ReplyDelete
  2. Barclays mlinichefua;kuna wakati nilitaka kujua kama kadi yenu ya viza inapiga mzigo maeneo gani nikaambulia ni tanzania tuu!! Noma sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...