Daraja la Makoka ambalo limekamilika hivi karibuni. Daraja hili ndilo linalofanya mpaka unaounganisha wilaya ya Kinondoni na Ilala.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Daraja la makoka wapi? HUJAELEWEKA MI SI MKAZI WA HAPO INABIDI UTAJE NI ENEO GANI PLS.

    ReplyDelete
  2. Makoka ndio wapi hapo kati ya Kinondoni na Ilala wajameni?

    ReplyDelete
  3. Mona sioni daraja?????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...