Salam,
Urban Pulse Creative ikishirikiana na Aset Inapenda kuwataarifu wadau wote wa Music wa bongo Flava na Hip Hop kuwa imeandaa tamasha maalum linaloitwa URBAN TOUR ambapo msanii Diamond kutoka bongo anayetamba na kibao chake cha Mbagala atakuwepo hapa ukerewere kuanzia mwezi wa November mwaka huu. Wasanii wengine ni Pamoja na First lady wa Urban Pulse Mish Ze Fyah Sis UK Artist anayetamba na single yake Freedom na I don't give a damn.
http://www.youtube.com/watch?v=CVMv053sTiY
Tamasha Hili ni kwa ajili ya kuchangia Vita Dhidi ya Malaria Afrika. Diamond ni ambassador wa Malaria Tanzania na ndiye atakekuwa akiwakilisha.
Shows Hivi zitafanyika tarehe 6th Nov Milton keynes, 12th Nov London and 27th Nov Birmingham.
Stay tune kwa habari zaidi.
Asanteni,
Urban pulse Creative.
Home
Unlabelled
diamond kufanya kweli UK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
The video you have requested is not available.
ReplyDeleteIf you have recently uploaded this video, you may need to wait a few minutes for the video to process.
Haya ndiyo niliyokutana nayo nilipobrowse link uliyoitundika hapo juu. Au hii ni special kwa nchi za baridi tuu?