Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere wakati alipofika Eneo la Mwitongo Kijiji cha Butiama, nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kumsalimia Mama Maria Nyerere leo

Mama Maria ... quite moderate and reminds me of original mamas. Hana makuu mama wa watu. Mungu akuzidishie siku za kuishi na afya njema. Tunakupenda sana .....
ReplyDeleteeti ana yupo wapi vile and nani vile mwinyi,s wives??? she the real mama love you mama and god bless you
ReplyDelete