Home
Unlabelled
dr slaa aiteka chato
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
unajua wewe michuzi mimi unanishangaza sana? wewe unasema ni muandishi wa habari na hupendelei upande wowote wa chama , tena kuna siku umeandika ujumbe mreeefu wa kuhusiana na hilo jambo, sasa hivi wewe hujioni kama unapendelea ccm? angalia hapa picha ya chadema umeweka moja tu tena kama umelazimishwa wakati chini kuna za kikwete umeweka zaidi ya moja , tena anamsaidia sijui huyu mara huyu , ina maana huyu dr slaa hasaidii watu huko ? au kwa kusoma huna hizo data ? yaani wewe ni bora useme uko ccm ili tujue moja kuliko kujifanya huna chama wewe ni muadishi wa habari.. huo ni UNAFIKI
ReplyDeletebania hii , muhimu wewe umesoma
Michuzi kwa upendeleo, Hapa angekuwa JK ungetoa hata picha 100 lakini kwa kuwa ni chama kisicho chako umetoa kapicha kamoja, tafadhali usiibane.
ReplyDeleteRais Mtarajiwa anayesubiri kuapishwa, haha ahaha CCM mjinyonge tu mwaka huu, mwaka wa mabadiliko chanya, mwaka wa kuwaondoa vibaraka na mafisadi hahha ahaha.
ReplyDeleteMichuzi!
ReplyDeleteKwanza nakushukuru kwa jitihada zako za kutupatia habari ambayo tusingeiona au kuipata popote pale isipokuwa kwenye blog yako, ASANTE.
Pili, ukiweza ACHA kabisa upendeleao...onesha matukio ya Dr. Slaa kama unavyofanya kwa JK. Hii sijui ulikosea kubonyeza button maana sio kawaida yako. Wana habari wengi hawaendi popote wakianza upendeleo na UNAFIKI.
Wadau mwacheni ankal, siku zake zinahesabika, ni mwandishi wa dailynews huyu, what do you expect? kikwete akipita mwaka huu basi ni kwa nguvu mnoooo
ReplyDelete