FLAVANITE inakuletea ''UTAKE nite''SATURDAY hii ya tar 16-10-2010 yaani niMASAA MAWILI ya EAST AFRICAN HITZ yaani TZ,KENYA na UG
karibu uskie na Kudance ZOOOTE KALI,chini ya DJ MACKAY,BONILUV & OSCA,ni katika UWANJA WA NYUMBANI mzaLenDo Pub ,
Millennium towerz na LEO mKESHA wa NYERERE DAY TUNAGONGA KAMA KAWAIDA,USIKOSE
Thanks in advance
venTure.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...