Da' Amina (kati) na wadau wakifurahia keki yake ya hepi besdei ya kuzaliwa kwake katika sherehe zilofanyika Amsterdam, holland, wiki hii
Toka shoto ni Aboubakar Liongo, Kabila, Bachalla,
Muddy Bawazir na Miraji katika mnuso huo

Muddy Bawazir (shoto) na Aboubakar Liongo jijini Amsterdam
Abou, Miraji na Muddy wakijiandaa kujimwaga kwenye mnuso wa Da'Amina




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Ndio Mzee Kabila Mwenyewe. Masalaam ya kumwaga toka london.

    Mdau Sweety

    ReplyDelete
  2. is this a birthday event or a political show up. Ule ugonjwa wa UK kumbe uko pia Uholanzi...
    Bongo tambarare

    ReplyDelete
  3. NAE UMECHEMSHA BWANA HAPPY BIRTHDAY Y KUZALIWA NDIO NINI MBONA UNATUONGELEA VITU VISIVOELEWEKA WE USHASEMA HAPPY BIRTH DAY WATU WAMESHA ELEWA NI SHEREHE YA KUZALIWA SASA WEWE HAPY BIRTHDAY YA KUZALIWA HAAAA CHAGUA MOJA ENGLISH OR SWAHILI

    ReplyDelete
  4. mambo ya ccm hatuyataki holland.
    mdau mbeba box udachini

    ReplyDelete
  5. acha watu wajivunie viongozi wanaowapenda ktk nchi zao.Big up friends kula bata tu life is too short.

    ReplyDelete
  6. CHARRA BOY MZUNGU PEKEE WA ILALA ANAYEKUBALIKA HAPA HOLANDI.KARIBU BAWAZIR ACHANA NA MAMBO YA KIBILLS.

    ZAUNUNU-AMSTERDAM

    ReplyDelete
  7. Hapa udachini mahakama kuu ya dunia hatuna hayo mambo yenu ya vyama vyama huo usisiemu hapa hatuutaki peleka huko kwa wenyewe uingereza hapa udachini sio pake kabisaaaaaaaa.....
    kabila mazoezi muhimu kaka utapasuka

    mdau wa mahakama kuu ya dunia den haag.

    ReplyDelete
  8. Mtu wa VipajiOctober 18, 2010

    Ni haki na demokrasioa iliyopo Tz & hapa udachini mtu kuonyesha anampenda nani kuwa kiongozi wake.

    Folks wake up!

    Hakuna anayekukataza kuonesha yule unayempenda wewe. Hakuna cha Uk hapa wala kulazimisha watu kufuata kile wewe unachofikiri tu.


    Aishiye Uholanzi bila kubeba Box.

    ReplyDelete
  9. pole dada keki zote zilo jaa wakakuchukulie keki za aldi? alokufanya hiyo birthday hana mana kabisa

    ReplyDelete
  10. Nashukuru mungu niliihama hiyo nchi na mapema kabla waswahili hawajaanza kufaa T,shirt za CCM, ila kwaninavyoiona kwenye picha inaonesha uswahili mtupu hapo sasa hivi

    si hasha kuwa unaweza kuishi miaka 10 hapo hata.MAG IK U VRAAG, Usiijuwe maana yake wewe na casset za kibongo tu na kuagiza nguo za CCM ....hazitawasaidia ndugu zangu hapo ......tafuta OPLEIDINGEN...usomee kitu cha maana wewe

    Mdau ndani ya raha jijini, dar er salaam,

    ReplyDelete
  11. CCM Oyeeeeeeeeeeeeee

    Kikwete Oyeeeeeeeeeeeeeee

    Demokrasia Oyeeeeeeeeeeeeeee

    Mapenzi ni kikohozi kuyaficha haiwezekani

    CCM ina wenyewe wametapakaa dunia nzima.

    ReplyDelete
  12. Hahaha...! Cake ya ALDI MARKT. wabongo tuache majungu jamani. Mdau Holland.

    ReplyDelete
  13. duhhhhhh hehehe mashauzi yote kumbe keki ya ALDI aaaah kabila eeh bora mje tusaidiane kubeba box mauzo hayalipi siku hizi.
    mbeba box #1 udachini

    ReplyDelete
  14. kazi ipo alo nyie warundi mmevaa matisheti ya jk kivipi? angalia karandinga la uhamiaji la jaaa


    mdau magereza uholanzi

    ReplyDelete
  15. Europe mmeishiwa kimawazo kama walivyo Europeans wenyewe!
    Karibuni US.
    Mdau
    Los Angeles

    ReplyDelete
  16. `SIO ISHU BAADHI YENU MSIO NA AKILI KUKANDIA KILA KINACHOONEKA KATIKA BLOG NDIO MAANA MNAPIGIWA MASHORI YENU KWA KUWA HAMJIAMINI.HOME SWEET HOME WAANAAAAA.

    ReplyDelete
  17. aaaaiiiiii kazi humu ndani,kwa umbeya wako wa kujiweka michuzi,utakoma,unajiwekaga juuuu saaana wakati sio nafasi yako,fanya kazi,pata chako,angalia maisha,sio kudandia dandia vya kina dada.aibu zako tu kabila,babu mzima,kumanga manga na videm aibu tu

    ReplyDelete
  18. duh jaman wabongo kwa madongo I SALUTE U!!!!!!! nimesoma comments humu nimecheeeka,stress zote kwishney..mara mbeba box na 1,mara asiyebeba box basi raha tupu..all in all rudini nyumbani tujenge taifa,bongo kuzuri hasa kwa sisi wenye ELIMU zetu,tnaish kwa amani,hakuna kubeba box wala night shift!!mtajjj mnaopenda kuish maisha kitumwa..God bless my country, I LOVE IT,and i thank God for being a TANZANIAN..

    ReplyDelete
  19. afu watu kwa mikogo tu.... eti anasema kakimbia kabla ya wabongo hawajavamia, mmmh si useme ukweli tu ulifukuzwa manake maneno yako ni ya chuki tupu.

    R.I.P - Mwalime Julius K Nyerere
    R.I.P - WGC
    R.I.P - RWC

    ReplyDelete
  20. wakimbia nchi vipi mwajisikiaje hali uko?

    hahahahaaa izi comments!?

    ReplyDelete
  21. mambo ya kuweka mipicha kwenye michuzi waachieni uk ndio kazi zao nyie watu wa holland sio mambo yenu kwanza kama huyo kabila a.k.a kb sijui atakuwa lini kila siku ana mambo ya kitoto

    happy birthday da'amina mungu akujaalie miaka mingi zaidi ameen.

    mdau wa uholanzi jirani yake kabila.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...