Mwenyekiti wa Tume ta Taifa ya Uchaguzi Mheshimiwa Jaji Mstaafu Lewis Makame akifungua leo jijini Dar es salaam mkutano wa siku moja kati ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Tume hiyo . Mkutano huo ulilenga kujadiliana ili kupata mawazo ya kufanikisha maandalizi ya uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwishoni mwa Mwezi huu.
Mwenyekiti wa Tume ta Taifa ya Uchaguzi Mheshimiwa Jaji Mstaafu Lewis Makame akijibu maswali ya waandishi wa habari mara baada ya kufungua leo jijini Dar es salaam mkutano wa siku moja kati ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Tume hiyo . Mkutano huo ulilenga kujadiliana ili kupata mawazo ya kufanikisha maandalizi ya uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwishoni mwa Mwezi huu. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii kitu mbona late sana? You wonder where this organization has been doing this while year, especially knowing kwamba this is election year. Yaani viongozi wengine....

    ReplyDelete
  2. Unatikisa chupa ya dawa baada ya kunywa! kweli umetimiza mashariti ya matumizi. Bongo kila kitu kinawezekana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...