

Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Singida Mjini ,Mohamed Dewji akielezea mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwenye Jimbo la Singida Mjini kabla ya hotuba ya JK leo.
Umati wa watu uliojitokeza kumsikiliza mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa michezo wa Namfua Mjini Singida leo.
Kwa kweli naona JK hana mchezo kama amefika hata Mdida. Huko ni kijiji sana. Maeneo hayo walikuwa wakiishi watu wa kabila la Barabaigi na wengi wao wamehamia Arusha na Morogoro. Mdida ni sehemu moja amabayo inategemewa na Mkoa wa Singida kwa kutoa mazao ya Mahindi na Alizeti. Na kuna semekana kuna dhahabu pia.
ReplyDeleteMichuzi hii blog yako inatema CCM tuu. Hebu jaribu kuwa fair, toa na picha za chadema, CUF na wengine wanavyoteka miji. upendeleo kwa CCM utapoteza umaarufu na maana nzima ya blog yako.
ReplyDeleteKama alivyosema mtoa maoni wa pili hapa,Inaonekana kama vyama vingine bado havijaanza kampeni maana kila ukifungua blog hii ni ccm tupu,jamani tuache upendeleo na tutoe habari za kampeni za vyama vyote ili tuweze kuona kwa uzuri jinsi kampeni inavyokwenda,haipendezi kuona kila siku shughuli za ccm tu,inaonekana kama blog hii ni ya chama kimoja au inamilikiwa na ccm,
ReplyDeletemdau,Morogoro
fungua blog yako ya chadema tuachie sisi na michuzi tujidai na CCM yetu okey....
ReplyDelete"fungua blog yako ya chadema tuachie sisi na michuzi tujidai na CCM yetu okey...."
ReplyDeleteMTU MZIMA HOVYOOOOOOO