Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia MAELFU YA Wananchi wa Wilaya ya Newala muda mfupi kabla ya kuhutubia mkutano mkubwa wa Kampeni mjini Newala leo mchana. Picha na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani ee, naomba kuuliza; hivi kwani ankal yuko CCM?? mbona anapost kampeni za CCM tu??

    ReplyDelete
  2. kukusaidia mtoa maoni wa kwanza,anko yupo katika timu ya jk tangu day one,ni miongoni mwa waandishi walioteuliwa na mratibu wa habari wa mgombea huyo bw muhingo rweyemamu kama utakumbuka Kikwete press 2010 baadhi ya wengine ni msigwa,msungu,khalifani,mwendapole pekua magazeti na angalia tv utaona majina ni yale yale

    ReplyDelete
  3. mbona huyo nyigu hapo nyuma ya jk(mwenye shati nyeupe) ni mnene sana

    ReplyDelete
  4. Tarehe Thu Oct 21, 04:08:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous

    Si wewe peke yako ambaye amewahi kumsakama Michuzi kuhusu hiyo kero yako.

    Hivi unajua maana na very the essence ya "blog"?

    Pengine , hii itakusaidia kufumbuka macho:

    "A blog is a frequent, chronological publication of personal thoughts.

    Hapo juu kuna phrase: "personal thoughts."

    kwahiyo, kila blog ina bias yake; it is personal and, thus, subjective! Blog ni tofauti kabisa na gazeti!

    Wenye kufikiria blog ni gazeti are, indeed, polluting the communication environment of blogging>

    Kama Michuzi anatundika ya CCM tu, hana kosa lolote!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...