JK akiongea na waandishi na wageni waalikwa katika mkutano huo
Suzan Mongi wa TBC One akimpiga swali JK
JK akisalimiana waliohudhuria mkutano huo
JK akiwashukuru watangazaji wa vituo mbalimbali vya TV waliokuwa wakimhoji
JK na mgombea mwenza wake Dk. Mohamed Ghalib Bilal baada ya mkutano
baadhi ya waliohudhuria mkutano huo katika ukumbi mkongwe wa Arnautoglou
waandishi na wageni waalikwa wakimsikiliza JK akijibu maswali
Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo
baadhi ya wahariri wakimsikiliza JK
Fundi mkuu wa Clouds TV Mehboub al Hadad akiwa
mitamboni ambapo kituo hicho na vingine vilirusha mkutano huo moja kwa moja. JK alikuwa akijibu maswali yaliyoulizwa na wawakilishi wa vyombo vya habari na kuratibiwa na Bi. Asha Mtwangi, ulihusisha vituo tisa vya televisheni vikiwemo ATN, Channel 10, East Africa TV, TBC, TV Milimani, Clouds TV, Star TV na ITV.
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
CCM si walisema kwamba mgombea wao hapimwi kwenye luninga, anapimwa kwa utekelezaji wa ilani. Pametokea nini tena? Angekuja tumdahili kwenye mdahalo ingependeza zaidi. Anyway, Watanzania tumieni haki yenu ya kidemokrasia kwa busara. Mmewasikia wagombea wote wana mipango gani. Chagua mgombea anayekufaa wewe.
Kamichuzi asante naona umefikisha ujumbe manake JK kaongea kiswahili kitupu. Nakumbuka siku za nyuma yapata mwaka hivi aliongelea pasi mbili yaani kwa mi nilishindwa kuelewa sababu kizungu sijui na aliweka maneno mengi sana ya kizungu ikawa tabu kwangu ila kwa leo nimefurahi isipokuwa tu nilikuwa sijui kama ana kigugumizi.
jamani sote tumesikia na kuona.kwanza tuwapongeze waandaaji, pili tunshukuru mgombea kwa kukubali kuwepo pale muda ule...tatu tujitokeze kwa wingi kesho tupige kura zetu....yangu mimi nampa JK na wabunge wake na madiwani wake...nawaomba nanyi wote tumpe JK kwani anastahili
haki ya Mungu tanzania ni kama kichwa cha mwendawazimu!!!!!wana saikolojia mnasemaje kuhusu hiyo kauli ya mwisho ya mgombea(nisije nikaonekana nababaisha) hahahahah
Mavuvuzela mmeshindwa, ooh maswali kayajibu qualitatively na quantitavily, hamtaelewa maana hamjui maana na asiyejua maana.....!
Eti muwekewe majibu? Ulitangazwa na hata walio ughaibuni wameuona live kupitia Habaricom, mwanzo hadi mwisho na maswali yote kayajibu vizuri.
Mwisho amesema hivi, mtukaneni mpendavyo yeye hamaind ila msiingize nchi kwenye matatizo ya udini maana hayo ni zaidi ya ukabila na sisi hatuna pa kukimbilia. Namsifu sana kwa hilo kwani Muungwana hazumbuki!
Watanzania tufanye maamuzi sahihi ili tutunze utu na heshima yetu, chagua JK chagua CCM.
Kwa Anon wa Sat Oct 30, 10:27:00 AM, Labda ungenisaidia maana ya kujibu maswali qualitatively na quantitavily.
Mi ningependa unipe jibu la lile swali la kwanza tu tukichukulia wewe ndi umeulizwa lile swali kama mgeombea urais kama sitakosea swali lilikuwa hivi,Baada ya kuwa umetembea huko mikoani na jana/juzin dio umerudi nini hali ya Tanzania kwa sasa? Naomba pia nikukumbushe mheshimiwa kwnye sehemu yajibu lake kasema kwa mfano kule Geita mvua inanyesha.
Nini kazi ya Mamlaka ya Hali Ya Hewa Tanzania!!!
Huku si kuingilia kazi za mamlaka nyingine? kama mgombea tena wa urais kwa mtazamo wangu lazima uwe na upeo mkubwa zaidi ya hapo,lazima ufikirie mbali zaidi na kama mpiga kura sikutegemea jibu lije kwenye mvua,jibu iliuwa lazima lilenge kwenye haki ya Tanzania kwa sasa,maisha zaidi,matatizo na mafanikio.
IMEFIKA WAKATI SASA TUBADILI HATA HUO MSEMO WA KUWA MAISHA YA WATZ YANATEGEMEA KILIMO MAANA HATUKAWIHI KUJANA HOJA KUWAMVUA NI MUHIMU KWA SABABU MAISHAYETU WA TZ NIKILIMO.
tuwe wakweli zaidi ya hapa watz, na tupige kura tuchague viongozi si kwa ajili yetu sisi tu bali ni kwa ajili ya Tz ya kesho na keshokutwa.
Kuna kiasi kikubwa cha gesi mwambao Bahari ya Hindi
Serikali imesema kuna kiasi kikubwa cha gesi ardhini katika mwambao mwa Bahari ya Hindi kinachofikia mita za ujazo trilioni 1.1 ambacho kitaweza kutumika kwa zaidi ya miaka 40.
Kamishina wa Nishati, Prosper Victus, alisema jana kuwa ukiachia mbali gesi hiyo ambayo inatarajiwa kuchimbwa, kuna gesi nyingine ambayo ni trilioni 4 ambazo ipo chini ya bahari.
Aidha, alisema uchimbaji wa gesi katika bahari hiyo ulianza tangu 2005/2006 ambapo kampuni ya utafutaji mafuta ya Ophir Energy ya Australia ilipewa mkataba wa kumiliki vitalu vitatu.
Alisema kuwa kampuni hiyo inafanya kazi kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ili kubaini maeneo kadhaa ambayo jiolojia imeonyesha uwezekano wa kuwepo kwa mafuta na gesi.
Alisema katika kipindi hicho kampuni hiyo imekusanya takwimu za mtetemo takribani kilometa 8067 na 3677 kilometa za mraba ambapo waliweza kubaini maeneo ambayo yana gesi. Alisema Septemba mwaka huu kampuni hiyo ilishirikiana na kampuni ya BG ya Uingereza kukodisha chombo cha kuchoronga visima vya utafutaji ili kufanya utafiti wa kutosha katika visima hivyo.
“Uchoraji huo ulianza kwenye eneo la kwanza liitwalo pweza katika kitalu namba nne kusini mashariki ya kisiwa cha Mafia kwenye maji ya kina cha mita 1440 ambapo kisiwa hicho kilitarajiwa kuchorongwa hadi mita 4600 chini ya bahari,” alisema Victus.
Alisema kuwa mpaka sasa chombo hicho kilifanikiwa kukuta gesi asilia mita 60 kwenye miamba ya mchanga takriban mita 2625 chini ya bahari katika kisiwa cha Pweza.
“Hivi sasa chombo hicho kinaendelea kwenye eneo lingine takribani kilometa 20 katika kisiwa kingine cha pili cha Chewa ambapo wataendelea kuchoranga kitalu cha tatu cha Chaza ili kubaini mafanikio ya gesi iliyopo ardhini,” alisema.
JK NAKUTAKIA KILA LA HERI KESHO KWENYE UCHAGUZI NITAWEKA MAOMBI YANGU LEO NA MUNGU ATAKUSAIDIA UTASHINDA ROHO INANIUMA SIPO NYUMBANI NINGEKUPIGIA KURA KAMA KIPINDI KILICHOPITA ANYWAY NIMEWAAMBI UKOO WANGU WOTE WAKUPE KURA ZAO UNASTHAHILI CCM JUU
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...
Tuwekee kideo. Tunataka kusikia majibu yake kwa maswali aliyoulizwa hasa lile swali la kwanza.
ReplyDeleteTuwekee video ya huo mdahalo tujionee wenyewe!!
ReplyDeletekigugumizi mbona? uswahili mtupu
ReplyDeletekaka michuzi jamaaa kaongea lakini
ReplyDeletehahaaaaaaaaaaaaaaa
CCM si walisema kwamba mgombea wao hapimwi kwenye luninga, anapimwa kwa utekelezaji wa ilani. Pametokea nini tena?
ReplyDeleteAngekuja tumdahili kwenye mdahalo ingependeza zaidi.
Anyway, Watanzania tumieni haki yenu ya kidemokrasia kwa busara. Mmewasikia wagombea wote wana mipango gani. Chagua mgombea anayekufaa wewe.
Kamichuzi asante naona umefikisha ujumbe manake JK kaongea kiswahili kitupu. Nakumbuka siku za nyuma yapata mwaka hivi aliongelea pasi mbili yaani kwa mi nilishindwa kuelewa sababu kizungu sijui na aliweka maneno mengi sana ya kizungu ikawa tabu kwangu ila kwa leo nimefurahi isipokuwa tu nilikuwa sijui kama ana kigugumizi.
ReplyDeleteThanks kamichu
jamani sote tumesikia na kuona.kwanza tuwapongeze waandaaji, pili tunshukuru mgombea kwa kukubali kuwepo pale muda ule...tatu tujitokeze kwa wingi kesho tupige kura zetu....yangu mimi nampa JK na wabunge wake na madiwani wake...nawaomba nanyi wote tumpe JK kwani anastahili
ReplyDeletehaki ya Mungu tanzania ni kama kichwa cha mwendawazimu!!!!!wana saikolojia mnasemaje kuhusu hiyo kauli ya mwisho ya mgombea(nisije nikaonekana nababaisha) hahahahah
ReplyDeleteMavuvuzela mmeshindwa, ooh maswali kayajibu qualitatively na quantitavily, hamtaelewa maana hamjui maana na asiyejua maana.....!
ReplyDeleteEti muwekewe majibu? Ulitangazwa na hata walio ughaibuni wameuona live kupitia Habaricom, mwanzo hadi mwisho na maswali yote kayajibu vizuri.
Mwisho amesema hivi, mtukaneni mpendavyo yeye hamaind ila msiingize nchi kwenye matatizo ya udini maana hayo ni zaidi ya ukabila na sisi hatuna pa kukimbilia. Namsifu sana kwa hilo kwani Muungwana hazumbuki!
Watanzania tufanye maamuzi sahihi ili tutunze utu na heshima yetu, chagua JK chagua CCM.
Kwa Anon wa Sat Oct 30, 10:27:00 AM,
ReplyDeleteLabda ungenisaidia maana ya kujibu maswali qualitatively na quantitavily.
Mi ningependa unipe jibu la lile swali la kwanza tu tukichukulia wewe ndi umeulizwa lile swali kama mgeombea urais kama sitakosea swali lilikuwa hivi,Baada ya kuwa umetembea huko mikoani na jana/juzin dio umerudi nini hali ya Tanzania kwa sasa?
Naomba pia nikukumbushe mheshimiwa kwnye sehemu yajibu lake kasema kwa mfano kule Geita mvua inanyesha.
Nini kazi ya Mamlaka ya Hali Ya Hewa Tanzania!!!
Huku si kuingilia kazi za mamlaka nyingine? kama mgombea tena wa urais kwa mtazamo wangu lazima uwe na upeo mkubwa zaidi ya hapo,lazima ufikirie mbali zaidi na kama mpiga kura sikutegemea jibu lije kwenye mvua,jibu iliuwa lazima lilenge kwenye haki ya Tanzania kwa sasa,maisha zaidi,matatizo na mafanikio.
IMEFIKA WAKATI SASA TUBADILI HATA HUO MSEMO WA KUWA MAISHA YA WATZ YANATEGEMEA KILIMO MAANA HATUKAWIHI KUJANA HOJA KUWAMVUA NI MUHIMU KWA SABABU MAISHAYETU WA TZ NIKILIMO.
tuwe wakweli zaidi ya hapa watz, na tupige kura tuchague viongozi si kwa ajili yetu sisi tu bali ni kwa ajili ya Tz ya kesho na keshokutwa.
Kuna kiasi kikubwa cha gesi mwambao Bahari ya Hindi
ReplyDeleteSerikali imesema kuna kiasi kikubwa cha gesi ardhini katika mwambao mwa Bahari ya Hindi kinachofikia mita za ujazo trilioni 1.1 ambacho kitaweza kutumika kwa zaidi ya miaka 40.

ReplyDelete