Ndugu Michuzi,
Kwa heshima na upendo na penda kuchukua nafasi hii kumjulisha kila mtanzania aishie hapa Dallas, Texas (USA) kuhudhuria ibada maalumu ya maombi kesho siku ya Jumamosi kwa ajili ya kuombea uchaguzi katika nchi yetu. Ninaamini kila moja wetu anajua nchi yetu inafanya uchaguzi wa Raisi, wabunge na madiwani watakaotuongoza kwa miaka mitano ijayo.
Kama kanisa tunaamini viongozi wazuri hutoka kwa Mungu ambae anawaongoza watu katika kumchagua.Ninamatumaini kama watu tutajitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumlilia Mungu haikosi atatupatia viongozi wazuri. Ninaomba kila mtu atakaesoma habari hii amjulishe na mwingine.
( 2 NYAKATI 7:14).
MAHALI: 12727 Hillcrest Road, Dallas Texas,75230
MUDA: SAA 12 JIONI SIKU YA JUMAMOSI
MAWASILIANO ZAIDI 214 554 7381
Pastor Absalom Nasuwa
Umoja Church
MAHALI: 12727 Hillcrest Road, Dallas Texas,75230
MUDA: SAA 12 JIONI SIKU YA JUMAMOSI
MAWASILIANO ZAIDI 214 554 7381
Pastor Absalom Nasuwa
Umoja Church
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...