JK akipokewa kwa shangwe uwanja wa Ilulu mjini Lindi ambako kwa mujibu wa wakaazi wake haijapata kutokea uwanja huo kufurika namna hiyo
JK akimnadi mgombea ubunge Lindi mjiniMh. Mohamed Abdulrahmani katika mkutano huo wa kampeni
JK akishuka kwenda kuhutubia umati huo






JK HAUNA SABABU YA KUFICHA MAJINA YA WANAOTUMIA UDINI KWENYE KAMPENI ZAO, WANANCHI TUNAPENDA TUWAJUE KWANI SISI HATUYASIKII HAYO KWENYE KAMPENI ZAO.
ReplyDeleteMbali na kutakiwa kutaja majina ya wanaotumia dini kwenye kampaini vile vile uwezi kusema kavunja record wakati wagombea wote hawajafika uko, ungesubiri wote wafike ndo useme katika wagombea wote kavunja rekodi
ReplyDeleteKwani ni chama gani ambacho wagombea wote wa ngazi za juu ni dini moja?
ReplyDeleteJK HAWEZI KUTAJA MAJINA YA WANAOHUBIRI UDINI. SABABU KUBWA NI KWAMBA NI MUOGA. LABDA AMPE KIBARAKA WAKE MICHUZI AMTAJIE
ReplyDeletekwa taarifa yako nusu ya hao watu wanachagua chadema.
ReplyDeletembona michuzi hutuwekei kampeni za bwn slaa?????? kwakweli za kampeni za jk hazina mvuto kama slaa jamani, msema ukweli ni mpnzi wa mungu. kaka michuzi uwe unatundikia na za slaa pia, naomnba kuwasilisha
ReplyDeletewatanzania wengi wanaishi vijijini na vijiji awajaamka kama watu wamjini , kwa aliye kuwa kijijini hata vote CCM piga ua !! kikwete lazima ashinde hatakama hatutaki na tusio mtaka tupo mjini .wapizani wakitaka kushinda inabidi elemu ipelekwe vijijini .
ReplyDeleteJK, Tunakupenda na kwa nguvu za Muumba wengi wetu tutakuchagua tenu na utashinda na mahaters (kyadema)watameza matongo yao!!!! Mangelepaa.
ReplyDeleteBro Michuzi, una uhuru wa kuripoti unavyotaka. Wasiopenda nawaambia get the **** out of this blogspot. Tayari chadema mna gazeti la citizen na mwananchi, sasa bado mnataka watanzania wote tuwe watumwa wa matakwa yenu ya chuki? Never ever. Hatutasalimu amri yenu za kichuki. CCM DAIMA!!!! ccm4lyfe.
ReplyDelete