Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa kushirikiana na asasi zingine za kiraia zinaweza kukupatia taarifa zinazohusiana na uchaguzi katika tovuti kutoka sehemu mbali mbali Tanzania.
Tovuti hii
Tovuti hii
inatoa habari mbali mbali ambazo zinaletwa na waangalizi waliotawanyika Tanzania nzima.
Mwananchi yoyote naye anaweza kutuma taarifa kwa sms kwenda namba 15540, na taarifa hiyo itawekwa kwenye tovuti baada ya kuhakikiwa.
Watanzania tushirikiane katika kuhakikisha kwamba uchaguzi wa mwaka huu ni wa haki na huru.
Mwananchi yoyote naye anaweza kutuma taarifa kwa sms kwenda namba 15540, na taarifa hiyo itawekwa kwenye tovuti baada ya kuhakikiwa.
Watanzania tushirikiane katika kuhakikisha kwamba uchaguzi wa mwaka huu ni wa haki na huru.
Huu ni ukombozi kwa waTZ home na hata sisi tunaofuatilia habari za uchaguzi tukiwa nje ya Tz.
ReplyDeleteNawapongeza wadau wote waliofanikisha hili. Bilashaka tutapata balanced infomation.
Mimi hii imenifurahisha sana. Nimetoa habari nikiwa huku mkoani kwa kutuma hiyo sms, jamaa wakanipigia, nimewapa info walizotaka na habari hiyo ipo kwenye ripoti zao kwenye website yao. Big up watu wa haki za binadamu, njia sahihi ya kufuata ndio hii....
ReplyDeleteHakuna tovuti http://www.uchaguzi.or.tz/
ReplyDeleteLabda http://www.uchaguzi.org/
Lakini ukifungua, wanasema inatengenezwa!
watu wengine wanapenda kubisha vitu kabla hawajajiuliza mitandaoa yao ikoje?
ReplyDeleteMbona mimi nimeingia kwenye hiyo site bila tatizo lolote na kama walivyoandika hapo ni juu na sio .org kama ulivyotaka wewe...pp stop being too judgmental...give credit where credit is due...
This is good na siye tulioko huku tutaweza kufuatilia ila kuvote tu I hope next uchaguzi tutaweza kuvote kama tuko nyumbani vile...
Pia kuna hii iitwayo TZ-Elect:
ReplyDeletehttp://vijanafm.crowdmap.com/
Jinsi ya kuripoti — TZelect
1.Kwa kutuma barua pepe (email): tzelect (at) gmail (dot) com
2.Kwa kutumia twitter na hashtags zifuatazo: #TZelect or #uchaguzitz
3.Kwa kujaza fomu kwenye tovuti