mkuu wa mkoa wa Kagera m. Mohamed babu akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya udereva yaliyotolewa na chuo cha Lake Zone kilichopo mkoani Kagera, Mahafali hayo yalifanyika jana kwenye ukumbi wa chama cha msalaba mwekundu. Katika picha hiyo kushoto kwa Mkuu huyo wa mkoa ni Mkurugenzi wa chuo hicho Winston Kabantega na anayefuatia ni mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Kagera Marson Mwakyoma.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh. Mohamed Babu akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya udereva na umakanika yaliyotolewa na chuo cha Lake Zone kilichoko mkoani Kagera.Katika picha hiyo kushoto kwa mkuu huyo wa mkoa ni mkurugenzi mkuu wa chuo hicho Wiston Kabantega na kulia kwa mkuu huyo wa mkoa ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Samwel Kamote. Picha zote na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. uweke vitu vye akili. maana hawa madereva watasaidia nini kwa watu walio nje ya nchi kupata taarifa ya nchi yao.

    ReplyDelete
  2. wahitimu wa udereva na "kilaji" this is ridiculous. tabia mbaya na mfano mbaya kwa madereva wetu,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...