Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alli Hasani Mwinyi akitoa hotuba baada ya kushiriki katika matembezi ya Rotary Dar Marathon yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya miradi ya Maji Mashuleni yaliofanyika jijini Dar es Salaam.

kaka mkubwa kila mzee Mwinyi kwenye mbio vipi kuhusu Nkapa au yeye huwa hakimbii sijawai kumwona kwenye kuhamasisha jamii upande wa mazoezi kama haya.
ReplyDeleteAnony wa 06:33:00 umesahau kama Njee Nkapa ana matatizo ya NYONGA! Tangu wakati uleeee wa tukio lileeee . Tumswamehe atahamasisha kwa njia nyingine hata kwa makala
ReplyDelete