upanuzi wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar umeshaanza na tayari uzio umeshajengwa tayari kwa kuanza kazi hiyo ambayo itapokamilika uwanja huo utakuwa mpana zaidi na wa kisasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hii nimeipenda. Ingawa picha ni ndogo, inaonekana jengo litakuwa kubwa na kuwezesha ndege zaidi kuegesha. Ni matumaini hata 'traffic' ya ndege itaongezeka.

    ReplyDelete
  2. Investor: China International Fund Ltd???

    Kwa hiyo uwanja sio wa serikali???!!!

    ReplyDelete
  3. Wewe unalalamika nini? Kwani ni kiwanja gani cha ndege dunani cha kimataifa kinamilikiwa na serikali...Viwanja vyote viamilikiwa na private companies including Los Angeles, London Gatwick ambayo inamilikwa na mtu mweusi sasa, London Heathrow, New York JFK etc...serikali ina-support tu na kutoa guidelines....ni lini serikali iliweza kufanya biashara? Si wataiba mpaka taa za chooni? acha wachina wawekeze seriakali kazi yake kutoza kodi...That's all..Mdau-CA, USA

    ReplyDelete
  4. ononymous wa hapo juu una sema unapendeza kwenye picha hata terminal 2 ilikuwa hivyo hivyo na sasa umeuona? airport inanuka unapoingia tu kwenye jengo.. kama wafanyakazi wake wanavyonuka na rushwa sijui takukuru wanajua hili. uongozi wote kuanzia wa chini mpaka wa juu our airport is not a friendly place at all

    ReplyDelete
  5. kwa kuwa wamepewa wa china basi kazi itamalizika bila shida kabisa,sio kuwapa wahindi kama walivyofanya kwenye train na kuua kilakitu,wahindi wenyewe ni shida tu then serikali inawapa kuwekeze..duh

    ReplyDelete
  6. Kuna Msafiri alikuwa anasafiri jangwani na Ngamia wake alipiga kambi kutokana na baridi kali Ngamia alimuomba bwana wake apenyeze miguu kidogo kutokana na baridi Msafiri alikubali alienderea kuomba apenyeze tena Kichwa Msafiri akakubali mara ngamia akaomba tena apenyeze Tumbo maana baridi ilikuwa kali alipopenyeza tuuu TUMBO KIBANDA kikaanguka ndiko tunakoenda TANZANIA sasa.

    ReplyDelete
  7. Annon 03.54, nimejiuliza hilo swali pia nikaanza kudoubt kama naelewa maana sahihi ya neno Investor lakini kiukweli inaonyesha uwanja kapewa muwekezaji!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...