Home
Unlabelled
mh. pinda amtebelea mh. mwakanjuki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wazanzibar bwana kelele zote sasa kajificha Mbezi - Tanzania bara, ohh tunaonewa tunataka zanzibar yetu sasa kwa nini usiende ukafie kwenu Unguja? Vichwa vyao ni kama madafu wanayopenda kunywa.
ReplyDeletejamani amefanya nini, amekuwa kiwete? tuambiwe jamani, ni mtu poa sana huyo.
ReplyDeletekumbe na nyie mnapataga ajali?
ReplyDeletepale dereva wenu aliponigonga mie mkantolea nje baada ya kumpigia simu mkuu wa kituo mlisahau kila mla kuku wa mwenzie miguu humwelekea?
na usipoiweka hii michuzi nntakujua fisadii!!
Mwakanjuki ni mtu wa Bara (Tanganyika) wewe acha matusi yako.
ReplyDeleteAhsante mdau juu kutufahamisha kama Mwakanjuki ni mtu wa bara (Tanganyika) basi tufafanulie zaidi siku ya mapinduzi nasikia alikuwa bandarini Zanzibar na bunduki alikuwa anafanya nini na yeye Zanzibar haimhusu?
ReplyDeleteAjali aliyopata Mhe. ilikuwa katika eneo alilopata ajali, aliyekuwa Waziri Mkuu, marehemu Edward Moringe Sokoine.
ReplyDelete,....wapinga muungano wanaongea tu....lakini wote hao wana nyumba bara ....mchana wapo unguja usiku wapo Dar es salaam.....wanasiasa wengi zanzibar ndio life style yao.......wanasahau you can not eat your cake and have it!!!!.....wanaotaka kujitenga ...usiku wapo dar ...wanataka kujitenga kwa uchu wa madaraka tu!!
ReplyDeleteHappy b'day Brig Gen Adam Mwakanjuki
ReplyDeletemkristo pekee ktk serikali ya zanzibar,Mungu mkubwa
ReplyDeletepole sana brigedia,upate heri mapema
Ndugu zangu usimcheke binadamu mwenzio aliyekatika mateso ya kiroho na kimwili.
ReplyDeleteUsijetukana na wewe leo hii hujui nini Mola kakupangia.
Kwa wasio mfahamu Mwakanjuki(alikuwa mkuu wangu wa kambi Makutupora 1977) alikuwa kamanda mcheshi sana na mtu wa kupendwa na vijana(recruits) na wakati huo huo akitilia mkazo mafunzo ya kijeshi.
Niki mkumbuka nakumbuka Mzakwe ,milima ya Mayaya kwenye zoezi kali lilo saidia sana kwa vijana walioenda Uganda.
Wabara mmeifisidi Zanzibar mmeimaliza na sasa mnatutukana wazanzibari eti kutuita vichwa madafu, kweli wenzetu mmetuzidi ujanja. LAKINI mafuta yetu YA PETROLI yakianza kuchimbwa wabara kaeni chonjo, maana hela ya dhahabu na madini yenu bara hamjakuwa mkitugaia. Na kweli sisi wa akina yakhe ni vichwa madafu, maana tusingekuwa hivyo nahisi hali ya muungano isingekuwa hivi leo. Wajinga ndio waliwao.
ReplyDeleteMzee Mwakanjuki alipata ajali mbaya sana, akavunjika mgongo na sasa na amepooza. Mwenyezi Mungu amsaidie.
ReplyDeleteMatatizo ya ajali Tanzania yatatumaliza sana. Ametibiwa na serikali ya Muungano na ana nyumba Bara kama viongozi wengine wote wa Zanzibar isipokuwa Maalim Seif ambaye hufikia Hoteli ya Starlight, pale Mnazi Mmoja.
Shehe unayesemea mafuta huko Zanzibar ni kweli yapo lakini hayachimbiki kwa sababu yako kwenye mkondo wa bahari kati ya Pemba na Unguja. Ni gharama mno kuyachimba kiasi kwamba hakuna anayetaka kujaribu. Ni Norway peke yake duniani ndiyo imeweza kuchimba mafuta kwenye mkondo. Nchi zingine huchimba ardhini na kwenye ghuba tu. Hatuna teknolojia wala fedha na hakuna kampuni yoyote itakayowekeza kwenye mradi kichaa kama huu wakati kuna mingine laini.
Mafuta yako kwetu Mtwara na madini mengine yanakuja. Tulieni kwenye Muungano tutawagaia kiduchu. Kuna Tume ya Kero za Muungano inakamilisha mpangilio. Tulieni shehe; mkijitenga mtaumia manake hamna kitu Visiwani yakhe.
Michuzi nashukuru, nilikuwa sijawahi kusema humu.
majina kama haya mwakanjuki na mwakanjuku siyakizanzibari napenda kukusawazisha mdau hapo juu.
ReplyDelete