Mimi ni mdau wa Blog yetu hii ya Jamii,
Tafadhali ninapenda kuwasiliana na watanzania wowote waliopo nchini Costa Rica katika maeneo ya San Jose au popote pale Costa rica. Yaani nina upweke wa kuzungumza kiswahili.
Kwa hiyo naomba watanzania au east africa kwa ujumla tuwasiliane kwa email hizi ili tupeane namba za simu na kuwasiliana..
email zangu ni
au
Nitashukuru sana.
Mdau Costa Rica


ivi balozi hazisaidii adi uje humu?
ReplyDeletepili,unamis kuswahili cha nn ww ilhali ulienda kwa malengo yako uko?
ndo jichanganye bwa'mdogo
halooo nitumie visa mimi nitakuja huko tukae wote, nitakupa na mavituzzzz
ReplyDeleteLabda nikupe contact za wacostarica ninao wafahamu waliopo hapo
ReplyDeleteHola
we anony 09:05:00am Oct.18,
ReplyDeleteInaonekana bado upo nyuma sana katika kujua maana ya libeneke la mtandao au "Social network"
sasa kuna kosa gani?mtu kujitangaza ktk globu hii kuwa anawatafuta waswahili wenzie?na una mwelekeza kwani ubalozi hawezi kusaidia?kwa taarifa yako basi sio kila nchi kuna ubalozi wa bongo,
(B) hata kama ubalozi upo,ubalozi haulusiwi kutoa anuani ya mtu au simu bila ya ridhaa.
jaribu kuwa makini usiwe na mdhaa katika ukweli
network kitugani bwana, we jichanganye na washkaji, ushazoea uzembe wa bongo unatafuta wa kuporojeka naye. piga mzigo, wabongo utatukuta ukirudi ah kujitenga 2
ReplyDeleteMon Oct 18, 05:44:00 PM wee annon nakujibu ifatavo
ReplyDeleteivi unapoenda ktk nchi fulani unataka kukutana na wabongo wezio muongee kiswahili?au umeenda kwa madhumuni yako binafsi?kwanini unaenda nje ya nchi ilhali unaaza kumis-mis watu ya nini!!ni utoto na ulimbukeni...ubalozi unaweza ulizia (kwa washamba/watoto km nyie)if iyo nchi kuna atleast wabongo then kimpango wako...ndo nyie mnaoishia kuwa na magroup ya MAFIA kwa kutafuta-tafuta wabongo kiivo!!!
kama huwezi ishi na jamii ya hao wakostalika rudi bongo usipende deko
umeelewa wee annon unaejidai na social networks sijui nn!!alaaa ukue
kuzoea umbea wa kibongo tu!!chapa box wee kijana achana na kiswahili!!
ReplyDeletealaaa umefata nn uko?