NDUGU MOHAMMED ABDALAH LIHOMBA (MJANJA WA KILOSA )
Mwajiriwa wa Sheikh Suleiman Bin Abdul Azizi al Rajhi & Sons Co.
Amefariki dunia jana mchana 16 october 2010 Jeddah baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Mwili wa marehemu upo Jeddah na mipango
ya mazishi inafanyika nyumbani kwake kimara.

Tutapeana habari kila tukipata taarifa kutoka kwa ndugu wa marehemu.
Wasiliana na:
Ramadhan Makau +966502918529
Rajab Kosovo +255683302933

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. To God we belong, and to god is our return.

    Lakini, ni wazo tuu...kiislam ni sunna kuzika mtu alipofia. Nadhani pia gharama ni nafuu kuliko kusafirisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...