Rais wa kampuni ya RBP Oil & Indusrtial Technology Ltd,Mama Rahma Al Harous akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano aliofanya nao wakati akitangaza kukisaidia kituo cha kuendeleza vipaji vya watoto Yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu cha HANANASIF ORPHANAGE CENTER leo katika fukwe ya coco beach jijini dar.Mama Al Harous amechangia kiasi cha sh. milioni 5 na pia amedhamini gharama zote za ujenzi wa studio ya muziki.kushoto ni Mwenyekiti mwanzilishi wa kituo hicho,Hezekia Mwalugaja

Wanahitaji msaada. Mungu akujalie wewe na vijana wote.
ReplyDeleteDad yangu mpendwa Rahma...Mwenyezi Mungu akujaze zaidi ya unachotoa.
ReplyDeleteMpendwa Dada hata mimi ni mmhitaji, nina shida maomba msaada wako dada mpendwa.
Nitakuelezea mara tutakapowasiliana kwa simu na msaidizi wako. Namba zangu ni 071 321 1726 na 075 421 1726
Natanguliza shukrani zangu za awali
Mungu azidi kukubariki, kwa kuendelea kuwalea watoto hawo, mama Gwantwa
ReplyDelete