Bi. Harusi Mtarajiwa,Salama Martin (shoto) akiwa na matron wake katika sherehe ya send off iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Police Officers' Mess,jijini Arusha.
Bi. mtarajiwa ,Salama Martin akikata nyana ya ndafu
Bi. Harusi mtarajiwa akimlisha keki matron wake.
wakati wa keki ulipo wadia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Jamiani hii kazi ya Shamimu muachieni kazi yake. tuletee habari nyingine hii lifestyle kitu waachie mabloga wa lifestyle.

    Hongera bibi harusi na familia yako, natutakiwa mafanikio katika ndoa yako.
    Kumbuka uhusiano wowote ule unahitaji uvumilivu, wa ndoa unahitaji uvumilivu mara kumi ya mahusiano yote uliyonayo.

    ReplyDelete
  2. Hongereni. Mmependeza. Swali lakini: Kwa nini mkaamua kumtesa huyo mbuzi kiasi hicho?

    ReplyDelete
  3. Who is Salama Martin?

    ReplyDelete
  4. Who is Salama Martin?

    ReplyDelete
  5. KWELI UYO MBUZI APO ATA MIE SIJAPENDA HAMNA HURUMA?MMEMUWEKAJE IVO?

    WATU WENYE HAKI ZA WANYAMA AKYA MUNGU HAWATOPENDEZWA

    ReplyDelete
  6. wewe unayelalamika juu ya mbuzi i am sure unakula wanyama kama watu wengine na kama hauli it is your choice. ninajua wanyama lazima wawe na haki zao lakini binadamu ni lazima wale vyakula bora, kwani hata huko porini wanyama wanakula wanyama wenzao. hii ndafu ni sawa kabisa kwa watu we kaskazini ya tanzania. hongereni salama na mwenzio mmependeza sana.

    ReplyDelete
  7. sasa huyo ndafu mbona kama anakata gogo? (kama huelewi uliza watoto wa ilboru)

    ReplyDelete
  8. E. Mrema, kumbe na wewe huwa unafika huku kwa Mr Michuzi. nimeona comment yako hapo juu kuhusu kukata gogo nikajua ni wewe tu.

    ReplyDelete
  9. mambo ya kula nyama ya mbuzi kasimama kabisa kwa kweli ngumu.

    ReplyDelete
  10. Hongera bibiharusi kafurahia maisha lakini kumbuka tu penzi likiisha tu usije ukalia kumbuka ni wakati wa kubeba vifurushi na kuyoyomea na maisha mengine. Waswahili hao kazi yao kuonea tu watoto wa watu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...