Timu ya watanzania ya Stars United imepokea kikombe chao cha mashindano ya Bongo soccer flava iliyo fanyika mjini Atlanta, Georgia nchini Marekani 11/09/2010
Stars United walishinda kikombe hicho baada ya kuwafunga kwa penalties wenyeji wa Mashindano hayo Tanzanite FC ya Atlanta
Mashindano haya yatakayo kuwa yanafanyika kila mwaka yalihitimishwa Rasmi na Surprise guest Hasheem Thabeet na wanabongo flava kama Wakazi Wasira, AJ ubao,Dady V wa Kenya na kumaliziwa na Heavy weight MC Professor J.
Hongera Stars United

Mwali anameremeta
ReplyDeletebongo united mwaka huu lazima muondoke ndani ya houston thanks giving.
ReplyDelete