TANZANIIA STUDENT ASSOCIATION OF MYSORE (TASAM) INAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO MYSORE HUSUSANI INDIA,KWAMBA KUTAKUWA NA SHEREHE YA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA (FRESHERS) ITAKAYOFANYIKA TAREHE 09-10-2010 NEW SHARADA RESORT.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA:
MWENYEKITI +919538397925
KATIBU +919739273547
NAIBU KATIBU +919538397907
BY UTAWALA TASAM.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA:
MWENYEKITI +919538397925
KATIBU +919739273547
NAIBU KATIBU +919538397907
BY UTAWALA TASAM.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...