NDUGU JUSTIN SERUHERE AKISOMA HOTUBA KWA NIABA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK
UJUMBE WA TANZANIA UKIWA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK UKIFUATILIA KWA MAKINI MJADALA KUHUSU NEPAD NA MASUALA YA MWONGO WA KUPAMBANA NA MALARIA HASA KWA BARA LA AFRIKA. KUTOKA KUSHOTO NI: NDUGU JUSTIN SERUHERE, AFISA UBALOZI ANAYESHIGHULIKIA MASUALA YA KAMATI YA KWANZA, NDUGU OMAR MJENGA, AFISA ANAYESHUGHULIKIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA NA NDUGU BERNARD ACHIULA, KAIMU MKUU WA CHUO CHA DIPLOMASIA, DAR ES SALAAM, AMBAYO YUPO NEW YORK KUHUDHURIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mkutano huo wa watanzania kama vile ulisusiwa maana hakuna wajumbe angali viti vya nyuma Algeria etc

    ReplyDelete
  2. Jamani mbona ukumbi hauna watu, au wajumbe ni wachache sana!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...